Ghala la Mkulima

Matumizi bora ya mbolea ya Minjingu kwenye kilimo cha mboga

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-02-23T12:49:03Z
dc.date.available 2018-02-23T12:49:03Z
dc.date.issued 2003
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/118
dc.description.abstract Kipeperushi kinachoelezea mbolea ya Minjingu kama ni mbolea asilia ya kupandia. Mbolea hii inatokana na miamba inayochimbwa katika eneo la Minjingu mkoani Manyara ambayo husagwa na kufungashwa kwenye kiwanda kilichojengwa katika eneo hilo. Mbolea ya Minjingu ina kirutubisho cha mimea aina ya fosiforasi kati ya asilimia 12.3-13.2. Tofauti na mbolea nyingine za kupandia zenye madini ya fosiforasi kama vile TSP na DAP ambazo huagizwa nje ya nchi hivyo kugharimu fedha nyingi za kigeni, mbolea hii inayopatikana hapa nchini bei yake ni nafuu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Kituo cha Utafiti wa Kilimo, Mikocheni & Kituo cha Ut afiti wa M azao Uyole en_US
dc.subject Mbolea en_US
dc.subject Minjingu en_US
dc.subject Bustani en_US
dc.subject Ardhi en_US
dc.title Matumizi bora ya mbolea ya Minjingu kwenye kilimo cha mboga en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu