Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Lishe"

Utafutaji Kwa Somo "Lishe"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (COUNSENUTH, 2010-07)
    Saratani (Cancer) ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Seli hizo huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko ...
  • Nkuba, D. E. M; Bundala, N. H (2016)
    Utapiamlo ni miongoni mwa matatizo makubwa ya kiafya ambayo yanaathiri watoto chini ya miaka mitano, wajawazito na wanaonyonyesha, kutokana na mahitaji yao kilishe kuwa makubwa. Licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa na ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Tanzania., 2018)
    Chakula bora ni mlo kamili ulioandaliwa kutokana na mchanganyiko wa makundi matano ya chakula
  • Mwandishi Hajulikani (Quality Assurance Project - University Research Co., LLC, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea utaarishaji wa chakula kwa watoto wanaoanza kula kuanzia miezi sita
  • Mwandishi Hajulikani (PANTIL - SUA, 2011)
    Soya ni zao ambayo linalopatikana nakuhusisha mazao katika mimea mengine kama jamii vile ya mikunde maharage, njugu mawe, mbaazi, kunde, fiwi, dengu, choroko. Zao hili linaaminika kuwa asili yake ni Asia ya Mashariki. ...
  • LISHE 
    Taasisi ya chakula na lishe (Wizara ya afya, 2021)
    Kuboresha lishe ni msingi katika kufanikisha malengo yote ya Maendeleo Endelevu. Uwepo wa utapiamlo sugu (udumavu) unadhoofisha maendeleo katika uhakika wa chakula, uboreshaji wa elimu, na afya bora ya mama na mtoto nchini ...
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo - ILRI, 2016)
    Kuku wana mahitaji tofauti ya vyakula kulingana na umri (vifaranga, wanaokua, wakubwa) na uzalishajili (utagaji au unenepeshaji). Ili kuku waweze kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula cha ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kituo cha Ushauri Nasaha, Lishe na Afya - COUNSENUTH, 2012)
    Magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na mtindo wa maisha yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Awali, magonjwa haya yalikuwa yakiwaathiri watu wenye rika mbalimbali hasa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Quality Assurance Project, 2005)
    Wakati ukiwa mjamzito au unanyonyesha mwili wako unahitaji mlo kamili ambao hutokana na kula vyakula vya aina mbalimbali. Vyakula mbalimbali kila siku husaidia kuhakikisha kuwa unapata nishati na virutubishi vyote ...
  • Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2016)
  • Taasisi ya chakula na lishe (Wizara ya afya, 2019-01-01)
    Jumuiya ya Afya ya Nchi Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika imeendelea na uhamasishaji na msaada wa kitaaamu katika nchi husika ikiwemo Tanzania. Hii ni mojawapo ya mpango mkakati maalum wa kupunguza utapiamlo katika ...
  • Mwandishi Hajulikani (Food Plants International - FPI, 2016)
    This guide is based on information from the Food Plants International (FPI) database developed by Tasmanian agricultural scientist Bruce French. The source material and guidance for the preparation of the book has been ...
  • Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania - (SAT), 2020-11)
    Jarida hili la Mkulima Mbunifu linalenga zaidi kutoa elimu sahihi kwa mkulima juu ya shughuli zao mbalimbali katika toleo hili kuna makala juu ya: Utengenezaji wa kiuatilifu cha asili; Fahamu vitamini na madini ya kujenga ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2021-12)
    Jarida la wakulima ambalo linatoa makala mbalimbali za kusaidiwa wakulima toleo hili lina makala juu ya ulaji wa matunda, kirutubisho cha EMAS, Malisho ya nguruwe, Uoteshaji wa majani ya malisho kwa mifugo, Ufugaji wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2022-01)
    Toleo hili lina makala kuhusiana na Kanuni za kilimo hai na mazingira, Matumizi bora ya ardhi - Ekari moja ya ardhi iliyopangiliwa huimarisha uchumi wa familia, Uchafu husababisha magonjwa ya ngozi kwa mifugo, Matumizi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Sevia, 2017)
    Katika toleo hili la jarida la SEVIA kuna makala zifuatazo: TANZANIA INAKUHITAJI! Nchini Kenya, watu wazima husema matunda ni kwa ajili ya watoto na mboga mboga ni kwa ajili ya sungura; MBWAMBO KITURURU ni nani? ; Ondoa ...
  • Unicef (Unicef, 2020-03-23)
    Baada ya miezi 6 watoto wanahitaji aina nyingine ya vyakula pamoja na maziwa ya mama ili kuwafanya kuendelea kukua vyema. Aina mbali mbali za vyakula vitamsaidia mtoto wako katika njia mbali mbali. Wape watoto wako ...
  • Mpagalile, J. J; Balegu, W; Laswai, H; Makindara, J; Mwinuka, V; Mella, O; Msolla, M; Kundi, S (Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea mtama na faida zake kiafya, kimazingira na kiuchumi
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International, 2000)
    Maharage ya soya asili yake ni bara la Asia Mashariki, na yaliletwa Afrika mwishoni mwa mwaka 1800 na kwa tanzania mwanzoni mwa mwaka 1900. Kumekuwa nao ngezeko la matumizi ya maharage ya soya katik kuimarisha lishe kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (2012-08)
    Silage ni chakula maalum kinachotengenezwa kwa kutumia aina yoyote ya malisho yanayofaa kwa mifugo kama majani, nyasi, mabua ya mahindi, mtama na ufuta. Kwa kawaida silage hutengenezwa wakati wa mvua ambapo majani hukua ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account