Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Ghala"

Utafutaji Kwa Somo "Ghala"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Warehouse Receipts Regulatory Board, 2000)
    Mfumo wa Stakabadhi za Maghala ni mfumo unaotumika nchini wa kutumia bidhaa zilizohifadhiwa kwenye maghala badala ya mali zisizohamishika kuwa dhamana ya kupata mikopo kutoka asasi za fedha. Mfumo kama huu pia unatekelezwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala, 2018-10)
    Mwongozo namba 1 wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala Sekta Ndogo ya Korosho unaoelekeza Wajimbu wa wadau mbalimbali wa sekta ya korosho ili kutunza na kuhifadhi ubora wa zao hilo
  • Mwandishi Hajulikani (Bodi ya Utoaji Leseni za Ghala Tanzania, 2013)
    Bodi ya Utoaji wa Leseni za Ghala Tanzania ni wakala ya serikali chini ya Wizara ya Biashara na Viwanda. Wakala hii ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Stakabadhi Ghalani Namba 10 ya mwaka 2005. Dhamira ya Bodi ni kusimamia ...
  • Makundi, R. H; Misangu, R. N; Reuben, S. O. W. M; Kilonzo, B. M; Ishengoma, C. G; Lyimo, H; Mwatawala, M (Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2005-01)
    Hifadhi bora ya mazao inahakikisha familia inakuwa na chakula cha kutosheleza mwaka mzima. Pia mazao yanaweza kuuzwa wakati wowote ili kuongeza kipato. Mradi wa hifadhi bora ya mazao na udhibiti wa viumbe waharibifu ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account