Ghala la Mkulima

Teknolojia za hifadhi usindikaji, na matumizi ya mazao ya mikunde baada ya kuvuna

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Jamhuri ya Muungano wa T anzania, Wizara ya Kilimo na Chakula
dc.date.accessioned 2022-04-12T11:33:03Z
dc.date.available 2022-04-12T11:33:03Z
dc.date.issued 2003-08-07
dc.identifier.isbn 9987 - 400 - 02 - 7
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/589
dc.description.abstract Mazao jamii ya mikunde yanayolimwa hapa nchini ni maharage, soya, kunde na mbaazi. Sifa kubwa ya mazao haya ni kuwa na kiwango kikubwa cha protini nyingi na uwezo wa kuongeza naitrojeni kwenye udongo. Uzalishaji wa mazao haya ni wastani wa tani 490,000 kwa mwaka. (Takwimu, Wizara ya Kilimona Chakula) Hata hivyo kiasi kikubwa cha mazao hayo hupotea baada ya kuvuna. huu husababishwa na matumizi ya mbinu duni katika uvunaji, ukaushaji, usafirishaji, usindikaji na hifadhi. Kiasi kikubwa cha mikunde hupotea wakati wa kuvuna kutokana na kuchelewa kuvuna ambapo mapodo hupasukia shambani. Hali hii huruhusu mashambulizi ya wadudu waharibifu kwa urahisi na punje nyingi kuachwa shambani. Katika uvunaji, mazao mengi hupotea kwani mbinu zinazotumiwa na wakulima bado ni duni na za kuchosha, hivyo mazao mengi huachwa shambani. en_US
dc.description.sponsorship Makanza Creative Art (MCA) en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Wizara ya Kilimo na Chakula. en_US
dc.subject Hifadhi ya mazao ya mikunde en_US
dc.subject Kilimo cha Maharage en_US
dc.title Teknolojia za hifadhi usindikaji, na matumizi ya mazao ya mikunde baada ya kuvuna en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu