xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Denis, Marco D. | |
dc.date.accessioned | 2022-01-25T10:51:25Z | |
dc.date.available | 2022-01-25T10:51:25Z | |
dc.date.issued | 2016-01-22 | |
dc.identifier.citation | https://www.muungwana.co.tz/2016/01/usindikaji-wa-ndizi-umeniwezesha.html | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/564 | |
dc.description | usindikaji wa ndizi | en_US |
dc.description.abstract | Siku zote usipokuwa na juhudi na maarifa maisha ni magumu sana, lakini unapojituma na kutokukata tamaa, ni wazi utapata mafanikio. Jambo la msingi ni kujifunza mambo mbalimbali na kutenda kwa vitendo. Ndivyo alivyoanza kueleza Penina ambae ni msindikaji wa ndizi kutoka kijiji cha Nndatu wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Penina anaeleza kuwa, alianza usindikaji wa ndizi mwaka 2013, baada ya kuhudhuria semina ya usindikaji kutoka katika shirika lisilo la kiserikali la TeMdo. Anaeleza kuwa alifikia uamuzi wa kutafuta utaalamu wa kusindika ndizi, baada ya kuchukizwa na hali ya wakulima kupata hasara iliyotokana na ndizi kuoza na kutupwa msimu ambayo upatikanaji wake ni mkubwa. Pia uhitaji wa ndizi kavu kutoka kwa makundi mbalimbali kulishawishi zaidi kutafuta njia za kisasa za kufanya kazi hiyo. | en_US |
dc.description.sponsorship | muungwana blog. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Muungwana blog | en_US |
dc.subject | Usindikaji wa ndizi | en_US |
dc.title | Usindikaji wa ndizi | en_US |
dc.type | Learning Object | en_US |