Ghala la Mkulima

Jinsi ya kuhifadhi chakula vizuri kwa muda mrefu

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Fam Radio Internationa, Fam Radio Internationa
dc.date.accessioned 2021-08-25T09:46:23Z
dc.date.available 2021-08-25T09:46:23Z
dc.date.issued 2020-05
dc.identifier.citation http://scripts.farmradio.fm/sw/radio-resource-packs/rasilimali-kuhusu-ugonjwa-wa-corona-covid-19/taarifa-za-awali-jinsi-ya-kuhifadhi-chakula-vizuri-kwa-muda-mrefu/ en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/556
dc.description Jinsi ya kuhifadhi chakula vizuri kwa muda mrefu en_US
dc.description.abstract Kutokana na kuzuiwa watu kutembea katika nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa sababu ya ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19), masoko mengi ya vyakula halisi yamefungwa au kuzuiwa. Hii inathiri wachuuzi, wafanyabiashara, na watumiaji. Wakati, hadi sasa, minyororo ya thamani ya nafaka na kunde haijaathiriwa sana, watumiaji hawawezi kupata chakula halisi kwa ajili ya familia zao, haswa matunda na mboga, maziwa, na nyama. Vyakula hivi vinaweza kuharibika na, bila njia bora za kuweza kuzihifadhi na kubaki katika uhalisia vinaweza kuoza haraka. Ni vigumu kusisitiza sana umuhimu wa kula vyakula halisi. Matunda na mboga ni chanzo kingi na kisicho ghali cha nishati, virutubisho vya kujenga mwili, vitamini, na madini. Thamani yake kama lishe ni kubwa yanapokuwa halisi, lakini matunda na mboga nyingi hukaa katika hali ya uhalisi kwa muda mfupi sana, isipokuwa ikiwa yamehifadhiwa haraka na vizuri baada ya kuvunwa. Katika nchi ambazo vyakula halisi vinapatikana tu katika kipindi fulani cha mwaka, watu wametengeneza njia tofauti za kuhifadhi na kuongeza muda wa vyakula kubakia kuwa halisi ili viweze kuliwa wakati wa kipindi ambacho vyakula halisi havipatikani. Njia hizi ni muhimu sana kwa wakulima, wachuuzi, na wasindikaji. Vyakula halisi kwa kawaida huoza isipokuwa pale vinaposindikwa kwa njia fulani au kuhifadhiwa katika hali maalum. Mchakato wa kuoza ni kwa sababu ya vitendo vya viumbe-vidogo vinavyopatikana kwenye vyakula hivyo. Lakini kuoza kunaweza kupunguzwa kwa kuongeza uhifadhi, kusindika vyakula, na kutumia njia bora za uhifadhi. Matunda na mboga zinapaswa kutayarishwa kuhifadhiwa haraka iwezekanavyo baada ya kuvuna, ndani ya masaa 4 hadi 48. Uwezekano wa kuharibika huongezeka haraka kadiri wakati unavyopita. en_US
dc.description.sponsorship Global Affairs Canada. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.subject Jinsi ya kuhifadhi chakula vizuri kwa muda mrefu en_US
dc.title Jinsi ya kuhifadhi chakula vizuri kwa muda mrefu en_US
dc.title.alternative uhifadhi wa vyakula en_US
dc.type Technical Report en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu