Ghala la Mkulima

Kilimo bora cha pilipili kichaa

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mjasiriamali Hodari
dc.date.accessioned 2024-07-26T07:21:38Z
dc.date.available 2024-07-26T07:21:38Z
dc.date.issued 2020-01
dc.identifier.citation https://mjasiriamalihodari.blogspot.com/2020/01/kilimo-bora- cha- pilipili-kichaa- sehemu.html en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/892
dc.description Public use en_US
dc.description.abstract Zao la Pilipili kichaa 'Hot pepper' au 'Chilli pepper' (Capsicum frutescens) hulimwa maeneo mengi ulimwenguni ikiwemo nchini Tanzania. Matunda ya pilipili hutumika kwa matumizi mbali mbali kama chakula au kama tiba (medicinal properties) na kuimarisha afya ya mraji. Kwa upande wa chakula pilipili hutumika kama kionjo cha vyakula mbalimbali kama Supu, kachumbali, nyama choma, nyama rosti, maharage, mboga za majani, kutengenezea chilli sauce n.k. Kwenye chakula pilipili huongeza radha maridhawa kabisa, ndio maana mtu aliyezoea kula vyakula vyenye pilipili huwa hafurahii chakula kisichokua na pilipili. Kwa upande wa tiba pilipili/pilipili kichaa ina vitamini nyingi (Capsaicin compounds) ikiwemo niacin, pyridoxine, riboflavin, na thiamine n.k. Uwepo wa vitamini hizi pilipili hutumika katika kutengenezea madawa (Ointment) ya kuondoa maumivu ya viungo na misuli. Kufahamu faida nyingi za kiafya za kutumia pilipili. en_US
dc.description.sponsorship Mjasiriamali hodari blog en_US
dc.publisher Mjasiriamali Hodari en_US
dc.relation.ispartofseries Sehamu ya kwanza;
dc.subject Kilimo bora cha pilipili kichaa - sehemu ya kwanza (growing chili pepper - part one) mjasiriamali hodari en_US
dc.title Kilimo bora cha pilipili kichaa en_US
dc.title.alternative Kilimo bora cha pilipili kichaa na aina zake en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu