xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-01-04T10:53:26Z | |
dc.date.available | 2018-01-04T10:53:26Z | |
dc.date.issued | 2003 | |
dc.identifier.isbn | 9987 - 400 - 03 - 5 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/80 | |
dc.description.abstract | Mboga na matunda ni tegemeo la binadamu katika kupata vitamini na madini mbali mbali yanayohitajika kuujenga na kuulinda mwili kila siku. Mazao haya ni ya msimu kwa maana kwamba kuna vipindi yanapatikana katika hali ya ubichi (fresh) kwa wingi na kuna kipindi hayapatikani kabisa. Vitamini na madini yapatikanayo katika mazao haya hayahifadhiki katika mwili wa binadmu kama vile protini na wanga. Viinilishe vinavyopatikana katika mazao haya husaidia kuboresha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.Hivyo kutokana na umuhimu wake na kutoweza kuhifadhika mwilini ni lazima mboga na matunda yajumlishwe kwenye mlo/milo ya siku. Hifadhi ya mboga na matunda ili kuhakikisha upatikanaji kwa muda wote ni ngumu kutokana na kwamba mazao haya yana maji mengi (80-90%). Maji haya husaidia kukuza na kuongezeka kwa vimelea vya bakteria na fangasi ambavyo husababisha uharibifu wa mazao hayo kama yakihifadhiwa kwa njia ya kwaida kama mazao mengine. Upotevu wa mazao haya baada ya mavuno unakadiriwa kuwa ni kati ya asilimia 40 hadi 80 kutegemea aina ya zao. Upotevu huu ni mkubwa na unasababisha uhaba mkubwa wa vyakula hivyo vya lazima kwa binadamu. Teknolojia za utayarishaji, hifadhi na matumizi pamoja na za usindikaji wa baadhi ya mtunda na mboga zimeainishwa katika kitabu hiki. Aidha katika toleo lingine mazao mengine yatajumuishwa na masahihisho au maboresho ya teknolojia yataainishwa. Ni matumaini ya wataalamu wa liokiandika kwamba teknolojia hizi zikitumika wakulima na walaji wengine wataweza kujipatia mboga na mtunda hata baada ya msimu ili kudumisha afya. | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula. | en_US |
dc.relation.ispartofseries | Idara ya usalama wa chakula Sehemu ya hifadhi ya mazao na usindikaji;Kitabu namba tatu | |
dc.subject | Matunda | en_US |
dc.subject | Mboga mboga | en_US |
dc.subject | Uhifadhi | en_US |
dc.subject | Usindikaji | en_US |
dc.subject | Kuvuna | en_US |
dc.subject | Teknolojia | en_US |
dc.title | Teknolojia za Utayarishaji, Usindikaji na Matumizi ya Matunda na Mboga baada ya kuvuna | en_US |
dc.type | Book | en_US |