xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Tiisekwa, B. P. M | |
dc.contributor.author | Ndibakunze, B. K | |
dc.contributor.author | Suleiman, R | |
dc.contributor.author | Tiisekwa, A. B | |
dc.date.accessioned | 2017-11-16T06:54:08Z | |
dc.date.available | 2017-11-16T06:54:08Z | |
dc.date.issued | 2011-02 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/54 | |
dc.description.abstract | Matunda na mbogamboga ni mazao muhimu katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, kama yalivyo muhimu katika ulimwengu wote. Mazao haya ni chanzo cha vitamini, madini, antioxidants, kambakamba za chakula and wanga ambayo ni mahitaji muhimu ya mwili. Virutubisho hivi huongeza ubora wa chakula na huzuia binadamu kupata magonjwa sugu. Hata hivyo, matunda na mbogamboga huharibika kirahisi sana na hivyo hupoteza kwa haraka sana thamani yake ya lishe na ya kiuchumi. Makadirio ya upotevu wa matunda na mbogamboga baada ya mavuno katika nchi zinazoendelea ni asilimia 40%. Hii inamaanisha kuwa katika kipindi ambacho siyo cha mavuno, kaya hukabiliwa na upungufu wa matunda na mbogamboga kwa sababu ya ukosefu wa ufahamu wa namna ya kuhifadhi na kusindika kwa ajili ya matumizi katika mwaka mzima. Matokeo ya muda mrefu ya hali hii ni uhaba wa bidhaa iliyosindikwa katika ngazi ya chini na kutokidhi mahitaji ya viwango vya ubora kwa masoko ya ndani na nje nchi. Changamoto hizi zimeisukuma ASARECA kuwekeza katika utafiti na maendeleo katika teknolojia za mazao freshi na kuongeza thamani na mapato yatokanayo na bidhaa hizo. | en_US |
dc.description.sponsorship | ASARECA | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUA | en_US |
dc.subject | Kilimo | en_US |
dc.subject | Usindikaji | en_US |
dc.subject | Chakula | en_US |
dc.subject | Biashara | en_US |
dc.subject | Matunda | en_US |
dc.title | Mbinu bora za kilimo kwa wakufunzi na wasindikaji | en_US |
dc.type | Article | en_US |