Ghala la Mkulima

Mihogo - njia bora za ukaushaji na usindikaji

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-07-24T05:50:03Z
dc.date.available 2019-07-24T05:50:03Z
dc.date.issued 2009-12
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/493
dc.description.abstract Mihogo mibichi iliyovunwa huoshwa mara mbili. Uoshaji wa kwanza ni ule wa kuondoa udongo baada ya kuvuna, na uoshaji wa pili ni baada ya kumenya mihogo kabla ya kukausha.Baada ya kuoshwa mihogo humenywa kwa kutumia kisu kikali, na kutumbukizwa ndani ya maji safi. Baada ya kumenya kiasi kinachotakiwa mihogo huoshwa na maji safi hadi kuwa myeupe. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mitiki Blogspot en_US
dc.subject Mihogo en_US
dc.subject Muhogo en_US
dc.title Mihogo - njia bora za ukaushaji na usindikaji en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu