Ghala la Mkulima

BRICS: Mkakati mbadala wa ushirikiano wa kimaendeleo?

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mutalemwa, Darlene K
dc.contributor.author Mutalemwa, Deo P
dc.date.accessioned 2018-06-27T07:56:52Z
dc.date.available 2018-06-27T07:56:52Z
dc.date.issued 2014
dc.identifier.isbn 978-9987-708-11-6
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/209
dc.description.abstract Mandhari ya hali halisi ya ushirikiano wa kimaendeleo inabadilika huku kukiwa na ongezeko la washirika wapya ambao ni Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini, unaojulikana kwa pamoja kama BRICS . Washirika hawa wapya ambao wanawakilisha fursa mpya, rasilimali mpya na makubaliano mapya ya mikataba; huku mkazo mkubwa zaidi ukilenga katika mwelekeo thabiti wa ukuaji wa kiuchumi, kupunguza umaskini na kupata maendeleo ndivyo vinavyoleta changamoto kwa mashirika ya kimaendeleo na wajasiriamali wa nchi za magharibi. Utafiti huu unatokana na kusoma vitabu pamoja na nyaraka mbalimbali za kitaalam, unachangia katika uchambuzi wa maslahi ya sasa ya BRICS kwa Tanzania kwa upande mmoja, (na maslahi ya Tanzania-kwa nchi hizi-kwa upande mwingine), kwa kutoa mtazamo wa kuongeza maarifa na ufahamu wa nafasi ya BRICS na, faida na athari zake kwa Tanzania. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Policy Forum en_US
dc.subject Uchumi en_US
dc.subject Ushirikiano en_US
dc.subject Maendeleo en_US
dc.subject Tanzania en_US
dc.title BRICS: Mkakati mbadala wa ushirikiano wa kimaendeleo? en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu