Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
Mihogo, viazi vitamu na viazi mviringo ni mazao muhimu ya mizizi nchini Tanzania. Mazao hayo ni chanzo cha virutubishi mbalimbali hususan wanga, vitamini A (viazi vitamu vya rangi ya karoti), vitamini B na protini (majani ...