Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Afya"

Utafutaji Kwa Somo "Afya"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (COUNSENUTH, 2010-07)
    Saratani (Cancer) ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Seli hizo huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Tanzania., 2018)
    Chakula bora ni mlo kamili ulioandaliwa kutokana na mchanganyiko wa makundi matano ya chakula
  • Mwandishi Hajulikani (Quality Assurance Project - University Research Co., LLC, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea utaarishaji wa chakula kwa watoto wanaoanza kula kuanzia miezi sita
  • Mwandishi Hajulikani (PANTIL - SUA, 2011)
    Soya ni zao ambayo linalopatikana nakuhusisha mazao katika mimea mengine kama jamii vile ya mikunde maharage, njugu mawe, mbaazi, kunde, fiwi, dengu, choroko. Zao hili linaaminika kuwa asili yake ni Asia ya Mashariki. ...
  • Clifford, Diana; walking, David; Muse, Alex (Amerika ya Kaskazini na mradi wa health for animal and liverhood improvement - Hali, 2011)
    Wanyamapori kwenye hifadhi ya wanyama wako chini ya mbinyo wa matishio mbalimbali kama vile ukame uwindaji haramu ujangili mioto na uharibufu wa makazi yao.Tishio jingine kwa wanyama pori ni ugonjwa.
  • Mwandishi Hajulikani (Food Plants International - FPI, 2016)
    This guide is based on information from the Food Plants International (FPI) database developed by Tasmanian agricultural scientist Bruce French. The source material and guidance for the preparation of the book has been ...
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, 2017)
    Lishe ina uhusiano mkubwa na afya. Lishe duni au utapiamlo unaotokana na ulaji duni na maradhi ni mojawapo ya matatizo makubwa ya afya nchini Tanzania. Utapiamlo unawaathiri zaidi watoto wenye umri chini ya miaka mitano ...
  • Ekesa, B (CIALCA, 2010)
    Utoaji wa makala hii ni sehemu ya mradi wa ushirikiano baina ya CIALCA na MtandaoAfya (HealthNet) TPO ujulikanayo kama “destuli endelevu za kilimo na afya kwa uimalishaji lishe na afya kwa jamii ndogondogo nchini Burundi ...
  • Ekesa, B (Healthnet TPO, 2010)
    Utoaji wa makala hii ni sehemu ya mradi wa ushirikiano baina ya CIALCA na MtandaoAfya (HealthNet) TPO ujulikanayo kama “destuli endelevu za kilimo na afya kwa uimalishaji lishe na afya kwa jamii ndogondogo nchini Burundi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Department of Health - Australia, 2016)
    Kipeperushi kinachoelezea vyakula mbalimbali pamoja na matayarisho yake kwa ajili ya kupewa watoto/wanafunzi wanapokuwa mashuleni ili viweze kuwasaidia kutokaa na njaa lakini pia kujenga afya zao.
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-04-29)
    Nafaka ni aina ya nyasi inayokuzwa kwa ajili ya "tunda" lake linaloweza kuliwa, linalojulikana zaidi kama nafaka.Nafaka hulimwa nyingi na hutoa virutubisho vingi zaidi vya chakula kuliko zao lolote, iwe ni moja kwa moja ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account