Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, 2011-08)
Mwongozo huu wa upitishaji wa Sheria Ndogo katika ngazi ya Kijiji umetokana na Sheria
za Serikali za Mitaa Mamlaka za Wilaya Sura 287 toleo la 2002 pamoja na Sera ya
Serikali ya kugatua madaraka kwa kukabidhi kazi, haki, ...