Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Viazi mviringo"

Utafutaji Kwa Somo "Viazi mviringo"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Tanzania na Kilimo Blog, 2017)
    Viazi mviringo ni zao muhimu la chakula na biashara katika nchi nyingi zinazoendelea. viazi husitawi vizuri sehemu zenye miinuko kati ya mita 1300 hadi 2700 juu ya usawa wa bahari. hukomaa katika kipindi cha miezi mitatu ...
  • Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania - SAT, 2016)
    Jarida la kilimo endelevu katika Afrika Mashariki - makala zilizomo ni za usindikaji wa pilipili, kilimo cha uyoga, Homa ya mapafu kwa ng'ombe; Ufugaji wa Sungura, kilimo cha viazi mviringo/mbatata
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
    Mihogo, viazi vitamu na viazi mviringo ni mazao muhimu ya mizizi nchini Tanzania. Mazao hayo ni chanzo cha virutubishi mbalimbali hususan wanga, vitamini A (viazi vitamu vya rangi ya karoti), vitamini B na protini (majani ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account