Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Viazi Vitamu"

Utafutaji Kwa Somo "Viazi Vitamu"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    Viazi vitamu ni miongoni mwa mazao muhimu ya chakula nchini Tanzania. Zao hili hustawi karibu mikoa yote hapa nchini Tanzania. Kwa uzalishaji, viazi vitamu vinashika nafasi ya nne baada ya Mahindi, Muhogo na Maharage. Viazi ...
  • Shubrook, Nicola (Shirika la chakula duniani, 2022-11-04)
    Viazi vitamu (Ipomoea batatas) ni mboga ya mizizi yenye wanga, yenye ladha tamu. Ngozi yake ya nje ni nyembamba na kahawia na nyama yake ina rangi angavu, mara nyingi rangi ya machungwa, lakini pia nyeupe, zambarau au ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account