Mwandishi Hajulikani (Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania - MJUMITA na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania - TFCG, 2015-06)
Misitu ni rasilimali muhimu sana ambayo nchi yetu imejaliwa. Inakadiriwa
Tanzania ina misitu yenye ukubwa wa hekta milioni 48.1 ambayo ni sawa
na asilimia 38 ya eneo lote la ardhi ya nchi yetu. Misitu hii hata ...