Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania - SAT, 2016)
Jarida la kilimo endelevu katika Afrika Mashariki - makala zilizomo ni za usindikaji wa pilipili, kilimo cha uyoga, Homa ya mapafu kwa ng'ombe; Ufugaji wa Sungura, kilimo cha viazi mviringo/mbatata