Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-03)
Mchungwa ni jamii ya mlimao, lakin hustawi zaidi ukandawa pwani wenye joto kiasi, mvua
zaidi na udongo wenye rutuba. Hapa Tanzania mikoa kama Pwani, Dar es salaam,
Morogoro, Mtwara,Tanga , na Lindi kinafanyika kilimo ...