Nyangi, Chacha,J
(Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2021)
Tatizo la minyoo Tegu ya nguruwe limetajwa kuwa ni kubwa hali ambayo inawalazimu wataalamu na wanasayansi kufanya utafiti wa kina ili kupata majibu ya tatizo hilo.
Wataalamu kutoka sehemu mbalimbali duniani, wamekusanyika ...