Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Karanga"

Utafutaji Kwa Somo "Karanga"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Karanga 
    wizara ya kilimo (Sokoine university of agriculture, 1987)
    Karanga ni zao zuri sana ambalo hutumika kama chakula na mafuta pia,karanga hupandwa sehemu tofauti nchini Tanzania.karanga hupandwa kwa kufuata kanuni zifuatazo kabla ya kupanda, chagua mbegu ambazo hazishambuliwi na ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Ufugaji Tanzania - Facebook, 2016)
    Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ...
  • Mwandishi Hajulikani (2000)
    Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali.
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Utafiti ya Naliendele - Mradi wa Karanga, 2017)
    Katika Tanzania karanga hustawi zaidi mikoa ya Mtwara, Dodoma, Shinyanga na Tabora. Zao hili ni maarufu sana kwa kutoa mafuta. Karanga hutumika kama chakulacha binaadamu . Mashudu na majani yake ni bora sana kwa kulisha wanyama.
  • Mwandishi Hajulikani (Kangeta Kilimo Blog, 2017-07)
    Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro pamoja na maeneo ya mtwara. na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine ...
  • Uhifadhi wa mazingira na kilimo (Sokoine university of agriculture, 2021-04-02)
    Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaidi katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ...
  • Inades Formation Tnzania (Sokoine university of agriculture, 1994)
    Karanga ni moja ya mazao ambayo yana kiasi kikubwa cha mafuta hadi kufikia asilimia 30.Punje ya karanga pia ina kiasi kikubwa cha protini hadi kufikia asilimia 44.Hivyo karanga zinaweza kutoa hivi viini lishe mbalimbali.Faida ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2013)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki - katika toleo hili kuna makala zifuatazo: Hongera Mkulima Mbunifu; Ugufaji nyuki Kazi isiyotiliwa maanani yenye kipato kikubwa; Mpunga zao muhimu lenye gharama nafu; Jenga nyumba ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account