Mwandishi Hajulikani (EcoAgriculture, 2014-10)
Nchini Tanzania, mpango wa matumizi bora ya ardhi vijijini
ulirasimishwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni moja ya mikakati
katika mchakato wa kuleta maendeleo endelevu vijijini.
Utekelezaji wa mpango huu hauna budi kuwa ...