Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Dawa"

Utafutaji Kwa Somo "Dawa"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • CFU-Tanzania (CROPBASE (T) L, 1996)
    Japokuwa kitengo cha Kilimo Hifadhi (CFU) hakihimizi matumizi ya Viua Magugu vya aina fulani au Viuatilifu vingine vya kukinga mimea, wakulima wanafahamu kuwa Viua Magugu vikitumika kwa usahihi aidhaa kwenye Kilimo Hifadhi ...
  • Mashaka, R. I (Chuo cha kilimo cha Sokoine, 1995)
    Kitabu hiki kinampatia mkulima mbinu bora za kunyunyizia dawa kwenye pamba ili kuondoa vijidudu vinavyoharibu ukuaaji wa pamba. Pia jinsi ya kutumia zana za kilimo na mavazi sahihi wakati wa kunyunyizia dawa. Mkulima ...
  • Tango 
    Bennet (Sokoine university of agriculture, 2023-09-20)
    Hii leo nitaongelea tunda la tango na madhumuni zaidi ni katika kumsaidia mbwa jike kukausha maziwa. Inaweza kutokea mbwa watoto wake wamekua na kuacha kunyonya au watoto wakafariki wakati bado wadogo mara baada ya kuzaliwa, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2017-11)
    Ili uweze kubaini mapema uwepo wa wadudu waharibifu au magonjwa katika mimiea yako ya nyanya ni lazima uwe unachunguza mimea yako mara kwa mara. Angalia uwepo wa wadudu kwenye sehemu ya chini ya majani, juu yake, kwenye ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account