Mwandishi Hajulikani (Kitengo cha Kuondoa Umaskini,Wizara ya Mipango, Uchumi na Uwezeshaji, Dar es Salaam, 2005)
Upunguzaji wa umaskini wenye maana nchini Tanzania utategemea ukuaji uchumi wa viwango vikubwa katika
maeneo ya vijijini, hususan katika sekta ya kilimo. Huu ni muhtasari wa vikwazo vya maendeleo vinavyokabiliwa na
wazalishaji ...