Mwandishi Hajulikani (Kituo cha Utafiti - Ilonga, Morogoro Tanzania, 2005-04)
NAKALA YA AWALI - MWONGOZO KWA MTUMIAJI ni kijitabu kinachotoa mwongozo kutoka Taasisi ya Utafiti wa mazao cha Ilonga ili kusaidia wakuliima na vikundi vya wakulima kuweza kuthibiti magugu na wadudu mbalimbali kwenye mazao ...