Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele
(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
Ufuta ni zao la biashara ambalo hutumika kama chakula cha binadamu.Mbegu zake hutumika kutengeneza vyakula mbalimbali kama kashata, mikate, tui,bwimbwi, mashudu yake hutumika kulisha mifugo.Tanzania ni nchi ya kwanza duniani ...