Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - Mkoa wa Simiyu, Tanzania, 2017)
Karibu Mkoa wa Simiyu. Mwongozo wa Uwekezaji wa mkoa wa Simiyu umeandaliwa sambamba na sera ya uwekezaji ya Tanzania. Unaainisha fursa za uwekezaji zinazopatikana katika mkoa wa Simiyu. Vile vile unaendana na dira ya mkoa ...