Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Parachichi"

Utafutaji Kwa Somo "Parachichi"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Msumba News, 2018-02)
    Parachichi ni moja ya tunda ambalo liko katika kundi la mmea wenye ghala mbili, tunda lake hulizunguka peke linalokuwa ndani, kitalaamu parachichi huitwa Persea Americana,parachichi lipo katika kundi la maua kupandwa, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2016)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki katika toleo hili kuna makala zifuatazo: Fahamu matatizo yanayoweza kumpata ng’ombe anapozaa; Kemikali huingia mwilini kwa njia mbalimbali; Mambo muhimu ya kuzingatia katika kulea ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2012)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki katika toleo hili kuna makala zifuatazo: Wakulima wanatumia taarifa; Mradi wa ng’ombe, zingatia haya! ; Usiruhusu udongo uharibiwe; Guatemala: Malisho wakati wa kiangazi; Mayai ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2017)
    Jarida la Mkulima Mbunifu tolea na. 52, 2017
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Biashara Blog, 2018)
    Miparachichi imekuwepo nchini kwa miaka mingi. Katika mikoa ya kaskazini (Kilimanjaro na Arusha) pamoja na kutumika kama matunda, maparachichi yalibeba jina la “chakula cha mbwa” kwa kuwa mara nyingi yalipodondoka ...
  • SAGCOT (SAGCOT Centre Limited, 2017)
    Parachichi (Persea americana) ni mti, mrefu unaosemekana asili yake ni Kusini Kati mwa nchi ya Mexico. Tunda la mmea, pia linaitwa parachi (au avocado pear au alligator pear), ni asili ya mmea wa tunda kubwa linalokuwa ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account