Mwandishi Hajulikani(Tanzania Organic Agriculture Movement - TOAM, 2018)
Kulingana na Shirikisho la kimataifa la harakati za kilimo hai (IFOAM, 2008), Kilimo-hai kinafafanuliwa kuwa ni “ mfumo wa uzalishaji ambao unaendeleza afya ya udongo, mifumo ya ikolojia na watu. Kilimo hiki hutegemea ...
Mwandishi Hajulikani(Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2014)
Ndizi ni zao linalolimwa katika ukanda wa tropiki na hutumika kwa ajili ya kupikia na kama matunda. Vilevile ndizi huweza kutengenezea starch, chips, pombe (mbege), ama kukaushwa na kuuzwa kama matunda yaliyokaushwa. Wakati ...
Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki katika toleo hili kuna makala zifuatazo: Wakulima wanatumia taarifa; Mradi wa ng’ombe, zingatia haya! ; Usiruhusu udongo uharibiwe; Guatemala: Malisho wakati wa kiangazi; Mayai ...
Ugonjwa wa Banana Xanthomonas wilt (BXW) umepewa jina lake kutoka kwa bakteria
wanaoambukiza na hatimaye kuua mgomba. Ugonjwa huo umeongezeka sana Uganda tangu
ulipopatikana kwa mara ya kwanza mwaka wa 2001 na sasa umeenea ...
Shirika la chakula Duniani(Shirika la chakula duniani, 2023-07-09)
Ndizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini.Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja na
Inasawazisha maji ya ...