Mwandishi Hajulikani (Ufugaji-TZ Blog, 2017)
Ili kupata mnazi ulio bora mkulima ni lazima awe muangalifu wakati wa kupanda. Mche
uliopandwa vibaya huchelewa kukua na hata wakati mwingine hufa. Mazingira kama vile aina ya
udongo, kiasi cha mvua, joto, na mwinuko ...