Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Nafaka"

Utafutaji Kwa Somo "Nafaka"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Canadian Foodgrain Banks - A christian Response to Hunger, 2017)
    Jarida linaloandika makala mbalimbali za kilimo NDANI YA TOLEO HILI kuna makala juu ya Mbolea ya kijani / Mazao funika yakipandwa na mahindi; Mbinu bora na salama za kuhifadhi nafaka; Wasifu wa washirika: Kulima Mbobumi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2017-10)
    Kulingana na msimu mahindi hupandwa mwanzoni mwa mwezi wa 11 baada ya mvua za kwanza kunyesha (Hususani kuanzia siku ya 1 hadi 15 ya mwezi Novemba) ambayo huvunwa mwezi Machi mwishoni au aprili mwanzoni. Pia mahindi ...
  • Mwandishi Hajulikani (International Crop Research Institute for the Semi-Arid-Tropics - ICRISAT, 2016)
    Mtama ni zao la chakula na biashara. Ni zao muhimu katika maeneo yanayokabiliwa na ukame na pia sehemu ambazo udong una rutuba ya wastani. Utafiti wa zao hili umeweza kutoa teknolojia mbali mbali ambazo zinaweza kutumi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
    Nafaka ni mazao makuu ya chakula ambayo hutumiwa na watanzania wote waishio mijini na vijijini. Nafaka zinaweza kuhifadhiwa kwa muda mrefu kuliko mazao mengine ya chakula na mara nyingi nafaka huzalishwa mara moja au mbili ...
  • Mwandishi Hajulikani (Africa Soil Health Consortium - ASHC, 2005)
    Chapisho linatolotoa wa muhtasari wa kadi zenye maelezo juu ya wadodo waharibifu ikiwemo Vipekecha shina wa mahindi - Busseola fusca; Chilo and Sesamia species; Osama - Prostephanus truncatus; Funza wa vitumba vya pamba - ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mogriculture TZ, 2017-06)
    Katika makala hii utajifunza mbegu bora mpya mabalimbali za mahindi zilizofanyiwa tafiti na vituo vya utafiti wa mazao ya kilimo hapa Tanzania. Kwa kila mbegu utafahamu kituo cha utafiti kilichozalisha hiyo mbegu, mahali ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-04-29)
    Nafaka ni aina ya nyasi inayokuzwa kwa ajili ya "tunda" lake linaloweza kuliwa, linalojulikana zaidi kama nafaka.Nafaka hulimwa nyingi na hutoa virutubisho vingi zaidi vya chakula kuliko zao lolote, iwe ni moja kwa moja ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account