Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania (SAT), 2016)
Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki toleo hili lina makala zifuatazo: - Unaweza kuongeza thamani na pato kwa usindikaji wa mihogo; - Vitamini na madini ni muhimu kwa afya ya kuku; - Sindika mbegu za Rosella kupata ...