Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Madawa"

Utafutaji Kwa Somo "Madawa"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Adama-Agan Ltd, 2014)
    COTTORAN ni kiua gugu cha kuua magugu aina ya majani mapana kwenye pamba. Cottoran inatumika kwenye maandalizi ya shamba kuzuia magugu kabla ya kupanda , na hata baada ya kupanda ila kabla mbegu hazijaanza kuota ...
  • Mwandishi Hajulikani (Food and Agriculture Organization of the United Nations - FAO, 2001)
    Since 1995, FAO AGSE has worked to improve the safety and efficiency of pesticides within systems of sustainable agriculture and integrated pest management (IPM). This began with the publication of guidelines to ...
  • Mahuyemba, Alfonsi S. (Mahuyemba Alfonsi, 2013)
    Asilimia kubwa ya dawa zitumikazo kwa kinga na tiba ya maradhi mbalimbalizilijulikana na kugunduliwa kutokana na vyanzo vya awali vya mimea. kutokana na maendeleo ya sayansi na tekinolojia, chenye uwezo wa kutibuna kuzuia ...
  • Mwandishi Hajulikani (MEGAGENERICS LIMITED, 2017)
    Konto 5 EC ni kiuadudu yeyevu cha wigo mpana mithili ya pareto chenye kiambato amilifu lambdacyhalothrin kwa kudhibiti wadudu waharibifu wa mazao ya bustani, ufuta, korosho, tumbaku, nafaka na mazao ya matunda.
  • Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania - SAT, 2013)
    MkMlinajaribu kuona ni namna gani linaweza kuongeza ubunifu wa kufanya kazi kwa karibu na kusambaza taarifa zinazohitajika na wakulima kwa karibu zaidi. Kwetu sisi taarifa pekee hazitoshi, lakini ujuzi na utaalamu ...
  • Mwandishi Hajulikani (Arysta LifeScience Tanzania Ltd, 2017)
    ATTAKAN C 344 SE Ni kiua dudu kinachopenyeza ndani ya mmea kuua wadudu kama sumu ya tumbo au mguso. Inadhibiti wadudu aina ya viwavi,funza na wadudu wanaofyonza

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account