Mwandishi Hajulikani (Ackyshine, 2016)
Kichwa cha kabichi kinapofunga vizuri, hutumika kama chakula na huvunwa baada ya kufunga
na kukomaa vizuri. Kwa kawaida kabichi hupandwa kwa msimu mmoja, lakini iwapo itakuzwa
kwa ajili ya kutoa mbegu hukuzwa zaidi ya ...