Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2017-05)
Mmea wa Rosella ‘Hibiscus sabdarifa’
WATU wengi duniani wamekuwa wakitumia dawa za mitishamba kutibu
maradhi mbalimbali, lakini siku za karibu utafti wa sayansi unaonyesha kuwa
mti wa ‘hibiscus sabdarifa’, unaojulikana ...