Mwongozo wa Kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi umeandaliwa kutokana na nyaraka zinaoonyesha dhamira ya Serikali ya Tanzania za kufanya sekta ya kilimo iweze kuhimili mabadiliko ya tabianchi hadi kufikia mwaka 2030.
Mwandishi Hajulikani(Wizara ya Kilimo, Usalama wa Chakula na Ushirika, 2014)
Mpango wa Taifa kwa mwaka 2014 - 2019 juu ya utunzaji, uendelezaji na utunzaji wa mazingira ili kuboresha hali ya hela kwa ajili ya kilimo nchini Tanzania.