Mwandishi Hajulikani (Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania - MVIWATA, 2011)
Jarida la Mtandano wa Vikundi vya Wakulima Tanzania toleo hili lina makala zinazohusiana na: Maoni - Habari za vijijini zipewe kipaumbele; Upatikanaji wa habari vijijini, kichocheo cha maendeleo?; Maoni ya wakulima na ...