Mwandishi Hajulikani (Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Tanzania, 2018)
Kitabu hiki cha mwongozo wa wawezeshaji wa mashamba darasa kitatumiwa na wawezeshaji hao kutoa mafunzo kwenye mashamba darasa na jamii zinazowazunguka. Kitabu hiki pia kinatoa mwongozo katika mafunzo ya ujenzi wa jiko ...