Chuo kikuu cha Sokine cha kilimo
(Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2022-11)
Zao la karoti asili yake ni Asia ya Kati. Zao hili lilienea nchi za Ulaya kwa kupitia Bahari ya Mediterranean. Baadaye lilipelekwa Amerika Kusini na Kaskazini, kisha Afrika.
Karoti hutumika kama kiungo cha mboga katika ...